Wednesday, May 22, 2013

SERENA WILLIAMS AMSHINDA AZARENKA KATIKA MASHINDANO YA INTERNATIONAL D' ITALIA


SERENA WILLIAMS (KULIA) AKIWA NA VICTORIA AZARENKA WAKIWA NA TUZO ZAO WALIZOSHINDA
AKIWA NA FURAHA SERENA AKIMWAGA SHAMPENI
SERENA WILLIAMS AKISALIMIA WASHABIKI WAKE
Mwanadada serena williams amefanikiwa kumshinda mwanadada victoria azarenka kwa seti 6-1, 6-3 katika mashindano ya international d' italia na kuweza kupata taji lake la nne mfululizo.
Mwanadada huyo kutoka marekani aliweza kumshinda mcheza tennis namba tatu kwa ubora duniani katika pambano lililopigwa kwa saa moja na nusu akiwa anajiandaa katika mashindano ya French open ambayo yanakaribia kuanza.

No comments:

Post a Comment

only comments that are benefial for this blog is allowed