Friday, May 17, 2013

SHEREHE YA MWAKA YA MANCHESTER UNITED KATIKA PICHA

Sir Alex na Robin van Persie wakiwasili katika tuzo za mchezaji bora wa mwaka wa klabu
Sir Alex akiongea na  Patrice Evra, Anderson pamoja na  Antonio Valencia kabla ya kuanza kwa sherehe ya mchezaji bora wa mwaka wa klabu
David de Gea, Rafael da Silva, Anders Lindegaard, Michael Carrick, Antonio Valencia, Patrice Evra, Ryan Giggs na Robin van Persie wakijipanga 
Ryan Giggs akihojiwa na Hayley McQueen katika sherehe
Ben Pearson akikabidhiwa tuzo ya mchezaji chipukizi wa klabu na kocha wa academy  Paul McGuinness
Adnan Januzaj akikabidhiwa tuzoya Denzil Haroun ya mchezaji mdogo wa mwaka wa timu ya vijana chini ya umri wa miaka -21 na meneja Warren Joyce pamoja na kocha Nicky Butt
Robin van Persie akiwa na tuzo ya Sir Matt Busby ya mchezaji bora wa mwaka wa washabiki 
Michael Carrick akiwa na tuzo ya mchezaji bora wa mwaka wa wachezaji wote
Robin van Persie akiwa tuzo ya goli bra la mwaka alipofunga goli safi dhidi ya Aston Villa tarehe 22 April 2013
Bryan Robson akimkabidhi Robin Van Persie tuzo ya goli bora la mwaka
Michael Carrick iakikabidhiwa tuzo ya mchezaji bora wa mwaka na kocha mstaafu Sir Alex Ferguson

No comments:

Post a Comment

only comments that are benefial for this blog is allowed