Sunday, June 02, 2013

MLINZI WA MANCHESTER UNITED JONNY EVANS AUAGA UKAPERA

Wakiwa na furaha: Jonny Evans na Helen McConnell baada ya ndoa yao iliyofungwa katika kanisa la Clough Presbyterian
Jonny evans akiwa na mke wake
Ndugu na marafiki walikuwepo kuwasubiri maharusi baada ya kufunga pingu za maisha
Mlinzi wa zamani wa manchester united John O'Shea alikuwepo kumpa kampani rafiki yake wa siku nyingi

Maharusi wakiwa nje ya kanisa baada ya kufunga ndoa

No comments:

Post a Comment

only comments that are benefial for this blog is allowed