Tuesday, June 04, 2013

NEYMAR DA SILVA DO SANTOS ATAMBULISHWA RASMI BARCELONA

Neymar akitambulishwa rasmi kama mchezaji mpya wa  Barcelona katika uwanja wa  Nou Camp hapo jana
Neymar akipeperusha bendera za barcelona
Neymar akionyesha ufundi wake mbele ya mashabiki wa Barcelona waliokuja kumpokea

Rais wa Barcelona Sandro Rosell akimkaribisha  Neymar katika uwanja wa Nou Camp

Neymar akisalimia mashabiki wa Barcelona
Neymar akisalimia watoto wa Barcelona waliokuja kumpokea
Neymar akichukuliwa vipimo vya afya

No comments:

Post a Comment

only comments that are benefial for this blog is allowed