Thursday, June 06, 2013

ROBERTO MARTINEZ ATUA RASMI KUINOA EVERTON

ROBERTO MARTINEZ AKIWA KATIKA UWANJA WA EVERTON
MWENYEKITI WA KLABU YA EVERTON BILL KENWRIGHT AKIMTAMBULISHA ROBERTO MARTINEZ KAMA KOCHA MPYA WA KLABU YA EVERTON
ROBERTO MARTINEZ AKIWA KATIKA UWANJA WA GOODISON PARK
AKIWA KATIKA VYUMBA VYA KUBADILISHIA NGUO
Kocha wa zamani wa klabu ya Wigan Roberto Martinez ametambulishwa rasmi kama kocha mpya wa klabu ya Everton baada ya aliyekuwa kocha wa zamani wa klabu hiyo David Moyes kujiunga na klabu ya Manchester united kuchukua mikoba ya Sir Alex Ferguson.

Kocha huyo kutoka hispania amesaini mkataba wa miaka minne katika klabu hiyo utakaomweka klabuni hapo mpaka mwaka 2017, akiongea na waandishi wa habari katika utambulisho wake kocha huyo amesema ana kazi kubwa sana katika kukinoa kikosi hicho kwa sababu kazi aliyoiacha david moyes ni kubwa sana.


Kocha huyo ameahidi kuifikisha klabu ya Everton katika mashindano makubwa kabisa barani ulaya maarufu kama UEFA uku akiahidi kupambana kwa hali na mali kuifanya klabu hiyo kuwa kati ya klabu zenye nguvu kabisa katika soka la uingereza.

ROBERTO MARTINEZ FACTFILE 

1973 - July 13: Born Balaguer, Spain.
1993: Makes La Liga debut for Real Zaragoza.
1994: Returns to hometown club Balaguer.
1995 - July 25: Signs for Wigan on a free transfer.
August 12 - Makes scoring debut against Gillingham.
1997: Wins Division Three championship.
2001: Released by Wigan after making 227 appearances.
July - Signs for Motherwell but makes only 16 appearances before contract terminated after one season when club enters administration.
2002 - July: Signs for Walsall on a free transfer.
2003 - January: Signs for Swansea on an initial short-term contract before agreeing a longer-term deal.
2006: Leaves Swansea and joins Chester City on a two-year contract.
2007 - February 21: Plays last competitive match for Chester before returning to Swansea as manager.
2008 - April: Earns promotion to the Championship and wins League One manager of the year.
2009 - June: Celtic and Wigan make approaches to Swansea for Martinez. The latter granted permission and he becomes Latics' manager.
2010: May - Wigan avoid relegation, finishing 16th.
2011: June - Turns down approach from Aston Villa and signs new contract with Wigan.
2012: April - Wins manager of the month award on the way to guiding his side to seven wins in their final nine games to escape relegation.
May: Speaks with Liverpool about their managerial vacancy, which eventually goes to Swansea's Brendan Rodgers.
2013 - May 11: Guides Wigan to their first FA Cup final victory, beating Manchester City 1-0 at Wembley.
May 14 - 4-1 defeat at Arsenal confirms Wigan's Premier League relegation.
June 3 - Wigan owner Dave Whelan confirms he has agreed compensation with Everton for Martinez to take over at Goodison Park.
June 5 - Appointed as Everton manager on a four-year deal.
 

No comments:

Post a Comment

only comments that are benefial for this blog is allowed