Monday, July 01, 2013

BRAZIL YATWAA KOMBE LA MABARA KWA USHINDI WA BAO 3-0 DHIDI YA UHISPANIA


KAZI IMEKAMILIKA:BRAZIL WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA BAADA YA KUTWAA UBINGWA WA MABARA
DAVID LUIZ AKIWA NA KOMBE LA MABARA MKONONI MWAKE
NEYMAR DA SILVA DO SANTOS
NEYMAR AKIIFUNGIA BRAZIL BAO LA PILI
WACHEZAJI WA BRAZIL NEYMAR NA OSCAR WAKIWA PAMOJA NA MASHABIKI WA BRAZIL BAADA YA NEYMAR KUFUNGA BAO LA PILI
WAUAJI WA HISPANIA HAWA HAPA (FRED KUSHOTO NA NEYMAR KULIA)
TUTAONANA BAADAYE: CESAR AZPILICUETA (KUSHOTO) ALIWEZA KUUANGALIA MPIRA UKIINGIA NYAVUNI WAKATI FRED ALIPOFUNGA BAO LA TATU LA BRAZIL
FRED NA NEYMAR WAKISHANGILIA BAO LA TATU LA BRAZIL
GERALD PIQUE AKIMCHEZEA VIBAYA NEYMAR
GERALD PIQUE AKITOLEWA KWA KADI NYEKUNDU BAADA YA KUMCHEZEA VIBAYA NEYMAR

VIKOSI

BRAZIL

  • 12 Julio Cesar
  • 02 Alves
  • 03 Thiago Silva
  • 04 David Luiz
  • 06 Marcelo
  • 11 Oscar
  • 17 Dias
  • 18 Paulinho (Hernanes - 88' )
  • 09 Fred (Jo - 80' )
  • 10 Neymar
  • 19 Hulk (Jadson - 73' )

Substitutes

  • 01 Jefferson
  • 22 Cavalieri
  • 13 Dante
  • 14 Filipe
  • 16 Rever
  • 05 Fernando
  • 07 Lucas Moura
  • 08 Hernanes
  • 15 Jean
  • 20 Bernard
  • 23 Jadson
  • 21 Jo

UHISPANIA

  • 01 Casillas
  • 03 Pique Dismissed
  • 15 Ramos Booked
  • 17 Arbeloa Booked (Azpilicueta - 46' )
  • 18 Alba
  • 06 Iniesta
  • 08 Xavi
  • 16 Busquets
  • 09 Torres (Villa - 59' )
  • 11 Pedro
  • 13 Mata (Navas - 52' )

Substitutes

  • 12 Valdes
  • 23 Reina
  • 02 Albiol
  • 05 Azpilicueta
  • 19 Monreal
  • 04 Martinez
  • 10 Fabregas
  • 20 Cazorla
  • 21 Silva
  • 22 Navas
  • 07 Villa
  • 14 Soldado
Ref: Kuipers
Att: 73,531

No comments:

Post a Comment

only comments that are benefial for this blog is allowed