Wednesday, July 25, 2012

DAVID BECKHAM ANA KWA ANA NA MUHAMMAD ALI

Mfalme wa zamani wa masumbwi Muhammad Ali akiwa katika picha ya pamoja na David beckham wakati wa mkutano na waandishi wa habari kukiwa kumebaki siku moja kuanza kupigwa kwa mashindano ya Olimpiki 2012 yanayotarajiwa kufanyika jijini London

No comments:

Post a Comment

only comments that are benefial for this blog is allowed