MCHEZAJI WA CHELSEA RAMIRES AMESAINI MKATABA MPYA UTAKAOMFANYA AWEPO KATIKA KLABU HIYO MPAKA 2017. MCHEZAJI HUYO WA KIBRAZIL AMBAYE YUMO KATIKA TIMU YA TAIFA YA BRAZIL ALIJIUNGA NA CHELSEA KATIKA MSIMU WA MAJIRA YA JOTO YA MWAKA 2010 AKITOKEA KATIKA KLABU YA BENFICA YA URENO NA AMEKUWA SAFU IMARA YA KIUNGO KATIKA TIMU YA CHELSEA.NIMEFURAHI KUPATA MKATABA MPYA NA NINA FURAHA KUWA MAHALI HAPA NA NINASHUKURU KWA SUPPORT NINAYOPATA KATIKA KLABU HII
No comments:
Post a Comment
only comments that are benefial for this blog is allowed