BREAKING NEWS: MCHEZAJI WA SIMBA PATRICK MAFISANGO AFARIKI DUNIA KWA AJALI YA GARI
Patrick Mutesa Mafisango amefariki dunia. Habari zilizotufikia zinasema kiungo huyo wa Simba amepata ajali ya gari katika maeneno ya Tazara wakati akijaribu kumkwepa mwendesha pikipiki na kupata ajali mbali iliyokatisha maisha yake.
No comments:
Post a Comment
only comments that are benefial for this blog is allowed
No comments:
Post a Comment
only comments that are benefial for this blog is allowed