Friday, June 08, 2012

MANCHESTER UNITED YAMSAJILI ANGELO HENRIQUEZ

Timu ya soka ya manchester united imekamilisha usajili wa mshambuliaji kinda kutoka chile Angelo Henriquez mwenye umri wa miaka 18 kwa ada ya uhamisho ya Paundi milioni 3.Mchezaji huyo alikuwa kwenye mawindo ya manchester united kwa kipindi cha mwaka mmoja. Mchezaji huyo ambaye anachezea timu ya taifa ya vijana ya chile amecheza mechi kumi na kufanikiwa kufunga magoli 10 akiwa na wastani wa goli moja kwa kila mechi.

No comments:

Post a Comment

only comments that are benefial for this blog is allowed