
DROGBA AKISHANGILIA BAO ALILOIFUNGIA TIMU YAKE

KAMA KAWAIDA YAKE

NDANI YA UZI MPYA
Hii ilikuwa ni katika mechi ya ligi ya nchini china ambapo timu anayochezea Didier drogba ya Shanghai Shenhua ilipopambana na timu ya Guangzhou na matokeo yalikuwa 1-1 bao lilifungwa na Didier Drogba
No comments:
Post a Comment
only comments that are benefial for this blog is allowed