Thursday, July 19, 2012

FERGUSON AHUDHURIA SHEREHE YA MIAKA 94 YA NELSON MANDELA

KOCHA WA MANCHESTER UNITED SIR ALEX FERGUSON AKIWA NA WATOTO WA SOWETO ALIPOKWENDA KWENYE SHEREHE YA KUZALIWA KWA NELSON MANDELA
BEN AMOS NA KOCHA WAKE SIR ALEX WAKIPEWA HESHIMA YA KIKABILA LA KIZULU WALIPOWASILI KATIKA SHEREHE HIZO
KARIBU SANA BABU

No comments:

Post a Comment

only comments that are benefial for this blog is allowed