Tuesday, July 24, 2012

LAURENT KOSCIELNY APATA MKATABA WA MIAKA 5 ARSENAL

Beki kisiki wa timu ya arsenal Laurent Koscielny amepata mkataba mpya wa miaka 5 ambao utamfanya kuwepo katika klabu hiyo mpaka mwaka 2017. Mchezaji huyo ambaye msimu uliopita alikuwa nguzo imara ya ulinzi ya klabu ya arsenal amefurahishwa na mkataba huo ambao ameulelezea kuwa ni mkataba mzuri ambao una lengo la kuleta changamoto katika klabu hiyo.

No comments:

Post a Comment

only comments that are benefial for this blog is allowed