Monday, July 09, 2012

MARIO BALOTELLI AAMUA KUJIACHIA


Wakati wachezaji wenzake wa manchester city wakiwa katika maandalizi kwa ajili ya msimu mpya wa ligi mario balotelli anaonekana akiwa hana hamu na maandalizi hayo na ivyo kuamua kujiachia katika klabu za usiku.Mchezaji huyo ambaye yuko katika mapumziko marefu kufuatia ushiriki wake katika mashindano ya ulaya ambapo timu yake ya taifa ya italia iliingia fainali na kutolewa na uhispania ameonekana akiwa anakunywa champeini na kuvuta hookah pipe katika klabu ya usiku ya watu maarufu ya St-Tropez.

No comments:

Post a Comment

only comments that are benefial for this blog is allowed