
Salomon kalou ambaye alifanikiwa kunyakua ubingwa wa ulaya na kombe la FA akiwa na klabu ya Chelsea amefanikiwa kusaini mkataba na klabu ya Lile ya ufaransa baada ya mkataba wake na chelsea kufikia mwisho. Mchezaji huyo amesema kuwa kusaini na lile ya ufaransa ni jambo jema sana kwake kwa sasa na anaweka malengo yake yote katika kuisaidia yimu hiyo kushinda mataji msimu ujao wa Ligi.
No comments:
Post a Comment
only comments that are benefial for this blog is allowed