Monday, August 06, 2012

USAIN BOLT AWEKA REKODI YA AJABU KWENYE OLYMPIC 2012 AKIMBIA MITA 100 KWA SEKUNDE 9.63


Mwanariadha kutoka Jamaica Usain Bolt akimaliza mbio za mita 100 kwa wanaume

usain bolt akimaliza mbio

kama kawaida yake akiweka pozi lake la ushindi


Mshindi wa kwanza na wa pili katika mbio za mita 100 Usain bolt na yohan blake wakifurahia ushindi wao walioupata katika mashindano ya olympic hapo jana usiku

No comments:

Post a Comment

only comments that are benefial for this blog is allowed