
KATIKA UHAMISHO HUO MCHEZAJI HUYO ATAKUWA AKILIPWA KIASI CHA PAUNDI MILIONI 2 NA TIMU YA NEWCASTLE IKIWA NI BONASI YA UHAMISHO KAMA MIPANGO YA KUHAMIA KLABU NYINGINE ITAKAMILIKA KAMA INAVYOONYESHWA KATIKA MKATABA WA MCHEZAJI HUYO.
DEMBA BA MWENYE UMRI WA MIAKA 27 SASA AMBAYE AMESHAWEKA NYAVUNI MABAO 13 KATIKA LIGI YA PREMIER KWA KLABU YAKE YA SASA YA NEWCASTLE ALIKUBALIWA KUPATA BONASI HIYO ALIPOJIUNGA NA KLABU YA NEWCASTLE MWAKA 2011.
No comments:
Post a Comment
only comments that are benefial for this blog is allowed