Thursday, January 03, 2013

ANGELO HENRIQUE ATUA WIGAN ATHLETIC

ANGELO HENRIQUEZ AKIWA NA JEZI YAKE YA WIGAN
ANGALIA VITU VYA ANGELO HENRIQUEZ
ANGELO HENRIQUEZ ANATEGEMEA KUTUMIA MUDA WAKE KATIKA TIMU YA WIGAN KUONYESHA KIWANGO CHAKE BAADA YA KUJIUNGA KWA MKOPO KUTOKA KLABU YA MANCHESTER UNITED MPAKA MWISHO WA MSIMU.

MCHEZAJI HUYO AMBAYE ALISAJILIWA NA MANCHESTER UNITED KUTOKA TIMU YA UNIVERSIDAD YA NCHINI CHILE AMESHINDWA KUPATA NAFASI KATIKA KIKOSI CHA KWANZA KUTOKA NA KUSHINDWA KUPATA HATI YA KUFANYIA KAZI LAKINI AMEKUWA AKICHEZA KATIKA TIMU YA VIJANA CHINI YA MIAKA 21 YA KLABU HIYO YA MANCHESTER.

MCHEZAJI HUYO ANATEGEA KUANZA KUITUMIKIA KLABU YA WIGAN KATIKA MECHI YA FA DHIDI YA BOURNEMOUTH PAMBANO LITAKALOPIGWA SIKU YA JUMAMOSI.
Angelo Henriquez fact file
Born: April 13, 1994, Chile
Appearances (Goals):
Universidad de Chile 17 (11)
Manchester United U21 6 (2)
Chile 1 (1)

No comments:

Post a Comment

only comments that are benefial for this blog is allowed