Saturday, February 09, 2013

DIDIER DROGBA APATA MAPOKEZI YA KISHINDO NCHINI UTURUKI


DIDIER DRGBA AKIWA AMEZUNGUKWA NA WAANDISHI WA HABARI BAADA YA KUTUA KATIKA JIJI LA ISTANBUL
New chapter: Didier Drogba held up a Galatasaray flag after arriving in Istanbul this afternoon DIDIER DROGBA AFUNGUA UKURASA MPYA, HAPO ANAONEKANA AKIWA AMESHIKA BENDERA YA KLABU YAKE MPYA YA GARATASARAY
Unveiled: Drogba holds up a scarf with his name emblazoned across AKIWA AMESHIKA SCURF INAYOONYESHA JINA LAKE
Barricade: Police hold back baying fans who push to see their new hero Drogba POLISI WAKIZUIA WASHABIKI WALIOFURIKA KUJA KUMWONA DIDIER DROGBA
Warm welcome: Drogba received a similar reception to Wesley Sneijder after he arrived in Turkey last month DIDIER DROGBA AKISALIMIA WASHABIKI WA GARATASARAY WALIOKUJA KUMPOKEA
Frenzy: Galatasaray fans hold up a flag in tribute for the striker after his arrival at Ataturk Airport
WASHABIKI WENYE MAPENZI YA KWELI KWA DROGBA

No comments:

Post a Comment

only comments that are benefial for this blog is allowed