Saturday, February 23, 2013

MARADONA ANAPOCHOMOZA KATIKA MCHEZO WA TENNIS

DIEGO MARADONA AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA MCHEZAJI MAARUFU WA TENNIS CAROLINE WOZNIACKI
MARADONA AKISALIMIANA NA CAROLINE
AKIMBUSU BETHANIE MATTEK-SANDSFrown: A sullen faced Maradona may have been getting tired of posing with tennis players
WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA

HII ILITOKEA WAKATI MCHEZAJI WA ZAMANI WA TIMU YA TAIFA YA ARGENTINA DIEGO MARADONA ALIPOTEMBELEA KATIKA MASHINDANO YA TENNIS YA WANAWAKE MAARUFU KAMA WTA YALIYOKUWA YAKIFANYIKA KATIKA JIJI LA QATAR NCHINI DUBAI AMBAPO ALIAMUA KUJICHANGANYA NA WAKINA DADA MAARUFU KATIKA MCHEZO HUO NA KUPIGA NAO PICHA.

No comments:

Post a Comment

only comments that are benefial for this blog is allowed