Friday, February 08, 2013

MESSI ASAINI MKATABA MPYA NA BARCELONA, KUENDELEA KUKIPIGA MPAKA MWAKA 2018

LIONEL MESSI AKIWASILI CAMP NOU KWA AJILI YA KUSAINI MKATABA MPYA
LIONEL MESSI AKITIA SAINI MKATABA WA KUENDELEA KUKIPIGA KATIKA KLABU YA BARCELONA
KAZI IMEKAMILIKA RAIS WA KLABU YA BARCELONA SANDRO ROSELL AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA MSHINDI MARA NNE WA TUZO YA FIFA BALLON D'OR LIONEL MESSI
Lionel messi amesaini mkataba mpya wa miaka miwili na klabu yake ya Barcelona .
Mchezaji huyo wa kimataifa wa Argentina ametia saini katika mkataba wake mpya ambao utamwezesha kuwepo katika klabu hiyo mpaka tarehe 30.06.2018
Messi anaungana na wachezaji wengine wa klabu hiyo xavi na Carles puyol ambao wote kwa pamoja wametia saini katika nyongeza ya mikataba yao ya sasa.






No comments:

Post a Comment

only comments that are benefial for this blog is allowed