Saturday, March 09, 2013

BALOTELLI AING'ARISHA AC MILAN

MARIO BALOTELLI AKIIFUNGIA AC MILAN BAO LA PILI
BALOTELLI AKISHANGILIA BAO LA PILI ALILOIFUNGIA MILAN
Mario balotelli akitokea katika benchi na kuweza kuisaidia Ac Milan kuifunga Geneo mabao 2-0 katika pambano gumu la ligi ya italia maarufu kama Serie A.

Mario balotelli alipewa kadi ya njano sekunde 30 baada ya kuingia uwanjani katika kipindi cha kwanza kuchukua nafasi ya Giampaolo Pazzini ambaye aliifungia milan bao la kwanza.

Balotelli alifanikiwa kuifungia milan bao la pili baada ya kupokea pasi safi kutoka kwa Cristian Zapata na kufanya idadi ya mabao aliyoifungia milan kufikia 5 tangu ajiunge na klabu hiyo kutoka Manchester city ya uingereza.

No comments:

Post a Comment

only comments that are benefial for this blog is allowed