
WACHEZAJI WA KAIZER CHIEFS WAKISHANGILIA USHINDI




Timu ya soka ya Kaizer chiefs jana jioni ilifanikiwa kutinga katika hatua ya pili ya mashindano ya kombe la Nedbank south africa kwa kuitandika bila huruma klabu ya wits katika pambano lililopigwa katika mji wa Nelspruit uliopo katika Jimbo la Mpumalanga.
Katika dakika ya 13 ya mchezo kingston Nkhatha alifunga bao lakini mwamuzi akalikataa kwa madai kuwa alikuwa ameotea.
Magoli ya chiefs yaliwekwa nyavuni na Siboniso Gaxa, Morgan Gould aliyefunga magoli mawili
No comments:
Post a Comment
only comments that are benefial for this blog is allowed