Wednesday, March 27, 2013

MARIO BALOTELLI AING'ARISHA ITALIA AFUNGA BAO 2 ITALIA WAKIIUA MALTA BAO 2-0

MARIO BALOTELLIA KIWA NA FURAHA BAADA YA KUIFUNGIA ITALIA BAO LA KWANZA
MARIO BALOTELLI AKIWA KATIKA HARAKATI ZAKE UWANJANI
Super Mario balotelli kwa mara nyingine tena ameweza kuing'arisha timu yake ya taifa ya italia kwa kuweza kufunga mabao mawili peke yake katika ushindi wa bao 2-0 walioupata italia dhidi ya Malta katika pambano la kuwania kufuzu kwa mashindano ya kombe la dunia mwaka 2014 yatakayopigwa katika miji tofauti ya nchini Brazil.

Magoli ya Mario balotelli yalipatikana katika dakika ya 8 kwa njia ya penati na goli la pili lilipatikana katika dakika ya 45 ya mchezo huo.

Kwa matokeo hayo Timu ya taifa ya italia imeweza kujikita kileleni mwa msimamo wa kundi B ikiwa juu ya Bulgaria kwa tofauti ya pointi tatu

No comments:

Post a Comment

only comments that are benefial for this blog is allowed