LUIS SUAREZ APIGA HAT TRICK NA KUONGOZA KWA UFUNGAJI KATIKA MSIMAMO WA LIGI YA UINGEREZA






Mchezaji mahiri wa Liverpool Luis suarez jana aliweza kujiimarisha kileleni mwa wachezaji wanaoongoza kwa kupachika mabao mengi katika ligi kuu ya uingereza kwa kuweza kufunga magoli 3(Hat trick) dhidi ya timu ya Wigan na hivyo kuwa mchezaji anayeongoza kwa kuzifumania nyavu mara nyingi akiwa anaongoza kwa kufunga magoli 21 uku akimwacha nyuma mchezaji wa manchester united Robin Van persie akiwa na magoli yake 19 mpaka sasa.
No comments:
Post a Comment
only comments that are benefial for this blog is allowed