Friday, May 03, 2013

BENFICA YATINGA FAINALI YA UEFA EUROPA LEAGUE

Benfica 3 Fenerbahce 1 (agg 3-2)

 Oscar Cardozo akishangilia baada ya kuipeleka benfica katika fainali ya uefa ndogo
Dirk Kuyt akiipatia Fenerbarhce bvao la kufutia machozi
Dirk kuyt akishangilia baada ya kufunga bao
Benfica wakishangilia baada ya kutinga fainali
Pambano lilisimama kwa muda baada ya mchezaji wa Fenerbahce Gokhan Gonul kuumia
Nicolas Gaitan akiipatia Benfica bao la kwanza

No comments:

Post a Comment

only comments that are benefial for this blog is allowed