
WACHEZAJI WA CHELSEA WAKIINGIA KATIKA BASI TAYARI KWA SAFARI

JUAN MATA AKIINGIA KATIKA BASI MKONONI AMEBEBA KAHAWA


MLINZI WA KIKOSI CHA CHELSEA DAVID LUIZ AKIWA TAYARI KWA SAFARI

OSCAR AKIWA AMEPUMZIKA WAKATI BASI LIKIWAPELEKA UWANJA WA NDEGE

PAMOJA NA KUWA MAJERUHI EDEN HAZARD AMESAFIRI NA WENZAKE

JUAN MATA

MARAFIKI WA KITAMBO JOHN TERRY NA FRANK LAMPARD


OSCAR AKIINGIA NDANI YA PIPA

KOCHA WA CHELSEA RAFA BENITEZ AKIONGOZA MAPAMBANO





WACHEZAJI WA CHELSEA WAKIWASILI AMSTERDAM
Timu ya soka ya chelsea imesafiri leo kuelekea Amsterdam Uholanzi ambako itashuka dimbani hapo kesho kupambana na timu ngumu ya Benfica kutoka nchini ureno katika fainali ya kikombe cha UEFA EUROPA league.
Timu ya Chelsea inaweza ikamkosa kiungo wake muhimu Eden hazard ambaye amepata majeruhi lakini yupo katika orodha ya wachezaji waliosafiri na kikosi cha kocha Rafa Benitez.
No comments:
Post a Comment
only comments that are benefial for this blog is allowed