Friday, November 22, 2013

NANI KAMFUNIKA MWENZAKE KWA PAMBA KALI KATIKA HAFLA ILIYOANDALIWA NA UNICEF

NANI KAMFUNIKA MWENZKE HAPA:KUTOKA KUSHOTO ASHLEY YOUNG,RIO FERDINAND, ANDERSON,WILFRID ZAHA, SHINJI KAGAWA
KUTOKA KUSHOTO:ANDERS LINDEGAARD NA MPENZI WAKE PAMOJA NA ROBIN VAN PERSIE NA MKE WAKE BOUCHRA
BOSS: DAVID MOYES
WAYNE ROONEY
PHIL JONES NA MKE WAKE KAYA KUSHOTO PAMOJA NA TOM CLEVERLEY NA MKE WAKE GEORGINA DORSET
WACHEZAJI MAPACHA WA MANCHESTER UNITED KUTOKA KUSHOTO RAPHAEL AKIWA NA FABIO DA SILVA
PATRICE EVRA AKIWA NA MKE WAKE SANDRA(KUSHOTO) PAMOJA NA NEMANJA VIDIC NA MKE WAKE ANA
Pichani juu ni wachezaji wa Manchester united walipokutana pamoja katika hafla iliyoandaliwa na UNICEF ikiwa na lengo la kuchangia pesa kwa ajili ya shughuli mbali mbali za watoto duniani kote.

No comments:

Post a Comment

only comments that are benefial for this blog is allowed