
Timu ya soka ya Arsenal jana usiku ilishindwa kukamata usukani wa ligi kuu ya nchini uingereza baada ya kutoka sare ya bila kufungana na klabu ya Chelsea katika pambano gumu lililopigwa jana usiku katika uwanja wa emirates.
Kwa matokeo hayo Arsenal inashika nafasi ya pili ikiwa nyuma ya Vinara Liverpool kwa kuwa na pointi 36 sawa na vinara Liverpool lakini wakiwa na tofauti ya magoli yao.
Timu zote mbili ziliingia katika pambano hilo zikiwa na nia ya dhati ya kuondoka na pointi zote tatu lakini zilikosa umakini katika umaliziaji na kufanya kupoteza nafasi nyingi za kufunga na kuishia kutoka sare ya bila kufungana.
VIKOSI
Arsenal: Szczesny 6, Sagna 7, Mertesacker 7, Vermaelen 7, Gibbs 7, Arteta 7, Ramsey 6, Walcott 6, Ozil 6, Rosicky 6, Giroud 6.
Subs not used: Podolski, Monreal, Cazorla, Flamini, Fabianski, Bendtner, Jenkinson.
Booked: Walcott, Rosicky.
Chelsea: Cech 6, Ivanovic 7, Cahill 8, Terry 8, Azpilicueta 7, Ramires 6, Mikel 6, Lampard 7, Willian 5 (Oscar 77), Torres 6 (Luiz 87), Hazard 7 (Schurrle 73 6).
Subs not used: Cole, Mata, Schwarzer, Eto'o.
Booked: Ramires
Man of the match: John Terry
Attendance: 60,039
Referee: Mike Dean 5
No comments:
Post a Comment
only comments that are benefial for this blog is allowed