Thursday, December 12, 2013

NEYMAR APIGA HAT TRICK AKIWA NA BARCELONA UKU BARCA WAKIIANGAMIZA CELTIC BAO 6-1






PICHANI JUU MCHEZAJI WA BARCELONA NEYMAR DA SILVA DO SANTOS AKIPIGA HAT TRICK YAKE AKIWA NA BARCELONA KATIKA PAMBANO LA JANA USIKU DHIDI YA CELTIC

GERALD PIQUE AKIIPATIA BARCELONA BAO LA KWANZA

GERALD PIQUE AKIWA KATIKA POZI LA PICHA BAADA YA KUFUNGA BAO

TELLO (KATIKATI) AKISHANGILIA BAO LA SITA LA BARCELONA

WACHEZAJI WA CELTIC WAKIWA NA SIMANZI BAADA YA KIPIGO KIKUBWA KUTOKA KWA BARCELONA

PEDRO RODRIGUEZ AKIIPATIA BARCA BAO LA PILI

GIORGIOS SAMARAS AKIIPATIA CELTIC BAO LA KUFUTIA MACHOZI

VIKOSI

Barcelona: Pinto Colorado 6, Montoya 8, Adriano 7, Busquets 8 (Song 73), Mascherano 7, Pique 8, Sergi 8, Xavi 8, Neymar 10 (Dongou 81), Pedro 8, Sanchez 9 (Tello 63)
Subs not used: Puyol, Iniesta, Alba, Olazabal Paredes
Goals: Pique 7, Pedro 39, Neymar 45 48 58, Tello 72 
Booked: Sergi 
Celtic: Forster 6, Lustig 5, Matthews 4 (Stokes 82), Brown 5, Ambrose 4, van Dijk 5, Boerrigter 4, Ledley 5, Pukki 3 (Mulgrew 45), Biton 4 (Commons 69), Samaras 5
Subs not used: Balde, Zaluska, Atajic, Fisher
Goal: Samaras 88
Booked: Brown, Matthews
Referee: Sergey Karasev
Attendance: 85,000



    No comments:

    Post a Comment

    only comments that are benefial for this blog is allowed