Tuesday, July 01, 2014

BAADA YA KUBANA KWA DAKIKA 77 NIGERIA YAACHIA NA KUKUBALI KIPIGO CHA BAO 2-0, BAO LA PAUL POGBA NA BAO LA KUJIFUNGA LA JOSEPH YOBO YAIVUSHA UFARANSA


PAUL POGBA AKIRUKA JUU NA KUIFUNGIA UFARANSA BAO LA KWANZA

POGBA AKISHANGILIA BAADA YA KUFUNGA BAO LA KWANZA

JOSEPH YOBO AKIJIFUNGA NA KUIPATIA UFARANSA BAO LA PILI

POGBA AKIJARIBU KUFUNGA LAKINI KIPA WA NIGERIA VINCENT ENYEAMA ALIKUWA IMARA

ENYEAMA AKIRUKA JUU KUOKOA HATARI ZILIZOELEKEZWA LANGONI KWAKE

PAUL POGBA AKIONYESHA UFUNDI WAKE WA KUCHEZA NA MPIRA KATIKA PAMBANO LA JANA LA 16 BORA DHIDI YA NIGERIA LILILOPIGWA KATIKA UWANJA WA NACIONAL ULIOPO BRASILIA

AHMED MUSSA AKIMTOKA KIUNGO WA UFARANSA BLAISE MUTUIDI

VITA VYA MAFUNDI WA KATI:KIUNGO WA UFARANSA BLAISE MUTUIDI AKIPAMBANA NA KIUNGO WA NIGERIA AHMED MUSSA

VIKOSI

France (4-3-3): Lloris 7; Debuchy 6.5, Varane 6.5, Koscielny 6, Evra 5.5; Pogba 7, Cabaye 6.5, Matuidi 7; Valbuena 7 (Sissoko 90), Giroud 5 (Griezmann 62, 7.5) Benzema 7.
Subs: Ruffier, Landreau, Sakho, Cabella, Mavuba, Mangala, Sagna, Digne, Remy, Schneiderlin.
Scorer: Pogba, 78, Yobo og, 90+2.
Booked: Matuidi.
Manager: Didier Deschamps 7 

Nigeria (4-2-3-1): Enyeama 6; Ambrose 6.5, Yobo 6, Omeruo 6.5, Oshaniwa 6.5; Onazi 7(Gabriel 59 - 6 ), Mikel 7.5; Odemwingie 7, Moses 6.5 (Nwofor 90), Musa 7; Emenike 7.
Subs: Ejide, Agbim, Uzoenyi, Egwuekwe, Odunlami, Oboabona, Azeez, Uchebo,
Ameobi.
Manager: Stephen Keshi 6.5 


No comments:

Post a Comment

only comments that are benefial for this blog is allowed