Wednesday, August 27, 2014

CAPITAL ONE CUP: MANCHESTER UNITED YAPATA AIBU YA MWAKA YAPIGWA 4-0 NA MK DONS NA KUTUPWA NJE YA KOMBE HILO

WILL GRIGG AKISHANGILIA BAADA YA KUIFUNGIA MK DONS BAO LA KWANZA KUTOKANA NA MAKOSA YA KIZEMBE YA BEKI JOHN EVANS
MK DONS WAKISHANGILIA BAO LA KWANZA
WACHEZAJI WA MAN UNITED WAKIDUWAA BAADA YA BAO LA KWANZA
BENIK AFOBA AKIPIGA KUIFUNGIA MK DONS BAO LA TATU BAADA YA KUINGIA AKITOKEA BENCHI PIA ALIIPATIA MK DONS BAO LA NNE
AFOBE AKISHANGILIA MOJA YA MAGOLI YAKE KATIKA PAMBANO HILO
UBAO WA MABAO KAMA UNAVYOONYESHA BAADA YA PAMBANO KUMALIZIKA
MAKOCHA WA MAN UNITED KUTOKA KUSHOTO RYAN GIGGS NA LOUIS VAN GAAL

VIKOSI


MK Dons 4-2-3-1: Martin 6.5; Baldock 6.5, McFadzean 7, Kay 7, Lewington 6.5; Alli 7.5, Potter 7.5; Carruthers 6.5 (Green 61 min, 6.5), Reeves 8, Bowditch 7 (Powell 56, 6); Grigg 7.5 (Afobe 68, 7). Subs: McLoughlin, Spence, Randall, Hitchcock.
Manager: Karl Robinson 8.
Manchester United 3-5-2: De Gea 6; M.Keane 5, Evans 4.5, Vermijl 5; Janko 5 (Perrara HT, 6), Anderson 5, Kagawa 4 (Januzaj 20, 5), Powell 6 (Wilson 57, 5), James 5; Hernandez 4, Welbeck 6. Subs: Amos, Zaha, McNair, Thorpe.
Bookings: James,
Manager: Louis van Gaal 4. MOM: Ben Reeves
Referee: Stuart Attwell 6. Att: 26,969
*Ratings by Matt Barlow at stadiummk 




No comments:

Post a Comment

only comments that are benefial for this blog is allowed