
KOCHA MKUU WA KLABU YA BORUSSIA DORTMUND JURGEN KLOPP AKIWA PAMOJA NA MCHEZAJI SHINJI KAGAWA KATIKA MAZOEZI MAALUM ALIYOANDALIWA NA KLABU HIYO

SHINJI KAGAWA AKIWA KATIKA MAZOEZI

DAKTARI WA KLABU YA BORUSSIA DORTMUND ANDREAS SCHLUMBERGER AKIWA SAMBAMBA NA MCHEZAJI SHINJI KAGWA KATIKA MAZOEZI

SHINJI KAGAWA AMESAJILIWA TENA NA KLABU YA BORUSSIA DORTMUND KWA KITITA CHA PAUNDI MILIONI 6.3 KUTOKA KLABU YA MANCHESTER UNITED
No comments:
Post a Comment
only comments that are benefial for this blog is allowed