ARJEN ROBEN AKIIPATIA BAYERN BAO LA KWANZA
ROBBEN AKISHANGILIA DA DAVID ALABA BAADA YA KUFUNGA BAO
THOMAS MULLER AKIIPATIA BAYERN BAO LA TANO
FURAHA YA USHINDI
WACHEZAJI WA BAYERN WAKITOKA NJE YA UWANJA BAADA YA PAMBANO HILO
VIKOSI
Roma: De Sanctis, Torosidis, Yanga-Mbiwa, Manolas, Cole (Holebas, 46), Nainggolan, De Rossi, Pjanic (Ljajic, 78), Iturbe, Totti (Florenzi, 46), Gervinho
Subs (not used): Skorupski, Destro, Astori, Paredes
Goals: Gervinho (66)
Bookings: Iturbe, Torosidis, Nainggolan
Bayern Munich: Neuer, Bernat, Boateng, Benatia, Alaba, Lahm, Alonso, Robben, Muller (Rafinha, 60), Gotze (Shaqiri, 79), Lewandowski (Ribery, 68)
Subs (not used): Zingerle, Dante, Pizarro, Hojbjerg
Goals: Robben (9, 30), Gotze (23), Lewandowski (25), Muller (35, pen), Ribery (78), Shaqiri (80)
Bookings: Bernat
Referee: Jonas Eriksson (Sweden)
Klabu ya Bayern Munich imeiacha klabu ya Roma katika mshangao mkubwa na kuchanganyikiwa baada ya kutoa kipigo kikali cha mabao 7-1 katika pambano la jana la kundi E na hivyo kufanya klabu hiyo kushinda kwa goli nyingi zaidi kwa mara ya kwanza ikiwa ugenini katika mashindano hayo.
Kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mhispaniola Pep Guardiola kiliizamisha klabu ya Roma katika mechi iliyopigwa katika dimba la Stadio Olimpico.
Mpaka kufikia mapumziko klabu ya Bayern Munich ilikuwa mbele kwa magoli 5-0, baada ya dakika 90 mbao za matangazo zilibadilika na kuwa bao 7-1 uku ikishuhudia Ashley Cole na wachezaji wengine wa As Roma wakitoka nje na kipigo kikali cha mabao 7.
No comments:
Post a Comment
only comments that are benefial for this blog is allowed