Saturday, March 24, 2012

MASHABIKI MBALIMBALI NA WACHEZAJI WAMTAKIA AFYA NJEMA FABRICE MUAMBA

 

 
WACHEZAJI MBALIMBALI NA MASHABIKI WA SOKA NCHINI ENGLAND WALIJITOKEZA KWA WINGI NA KUWEKA JEZI NA MAUA KATIKA UWANJA WA BOLTON WA REEBOK IKIWA NI ISHARA YA KUMTAKIA AFYA NJEMA KIUNGO MCHEZESHAJI WA BOLTON WONDERERS FABRICE MUAMBA AMBAE ALIPATA SHAMBULIO LA MOYO AKIWA KATIKA HARAKATI ZA KUICHEZEA TIMU YAKE YA BOLTON KWENYE PAMBANO LA FA CUP DHINI YA TOTENHAM UTD WIKI ILIYOPITA. MCHEZAJI HUYO ANAENDELEA VIZURI

No comments:

Post a Comment

only comments that are benefial for this blog is allowed