Saturday, March 24, 2012

VURUGU ZATOKEA UWANJANI NCHINI UGIRIKI

 

 

 

 

 
KAMA UNAVYOONA KATIKA PICHA HIZO NI VURUGU KATI YA MASHABIKI NA POLISI AMBAZO ZILITOKEA UWANJANI KATIKA PAMBANO LA MPIRA WA MIGUU KATI YA TIMU MAHASIMU NCHINI UGIRIKI PANATHINAIKOS NA OLYMPIAKOS AMBAPO MASHABIKI WA PANATHINAIKOS WALIANZISHA VURUGU BAADA YA TIMU YAO KUCHAPWA BAO 1-0 NA OLYMPIAKOS. KUTOKANA NA VURUGU HIZO CHAMA CHA SOKA NCHINI HUMO KIMEIPIGA FAINI TIMU HIYO YA KIASI CHA PAUNDI 210,894 NA ADHABU YA KUCHEZA MECHI NNE BILA KUWA NA MASHABIKI UWANJANI

No comments:

Post a Comment

only comments that are benefial for this blog is allowed