Thursday, December 13, 2012

LIONEL MESSI APIGA BAO 2 BARCELONA IKIIUA CORDOBA BAO 2-0

PICHA MBALI MBALI ZIKIMWONYESHA MCHEZAJI WA BARCELONA LIONEL MESSI AKIFURAHIA USHINDI WA BAO 2-0 WALIOUPATA KATIKA MASHINDANO YA KOMBE LA COPA DEL REY AMBAPO MAGOLI YOTE YALIFUNGWA NA LIONEL MESSI NA HIVYO KUZIDI KUPAA KATIKA IDADI YA MAGOLI KWA KUWEZA KUTIMIZA IDADI YA MAGOLI 88 KWA MWAKA MMOJA

No comments:

Post a Comment

only comments that are benefial for this blog is allowed