
DEMBA BA AMETUA RASMI CHELSEA NA KUTAMBULISHWA KWA WAANDISHI WA HABARI HAPO JANA.DEMBA BA AKIWA NA JEZI YA TIMU YAKE MPYA YA CHELSEA

MAROUANE CHAMACH AKIWA NA JEZI YA TIMU YAKE MPYA YA WEST HAM

JOE COLE AKIWA NA KOCHA WA WEST HAM UNITED SAM ALLARDYSE (BIG SAM) ALIPOKUWA AKITAMBULISHWA RASMI KAMA MCHEZAJI MPYA WA KLABU HIYO HAPO JANA
No comments:
Post a Comment
only comments that are benefial for this blog is allowed