Friday, January 04, 2013

PICHA YA SIKU

BABU SIR ALEX FERGUSON AKIWA AMEPOZI PEMBENI YA KITU CHAKE KIPYA KINACHOTUMIA UMEME BADALA YA MAFUTA. NI GARI AINA YA CHEVROLET AMBALO LINATENGENEZWA NA KAMPUNI MAARUFU YA KIMAREKANI YA CHEVROLET. HII NI MOJA YA MIKAKATI MIPYA YA KLABU YA MANCHESTER UNITED BAADA YA KUINGIA MKATABA NA KAMPUNI HIYO NA ITAANZA KUTUMIA JEZI ZENYE NEMBO YA KAMPUNI HIYO IFIKAPO MWAKA 2014/2015

No comments:

Post a Comment

only comments that are benefial for this blog is allowed