Monday, February 25, 2013

MATOKEO LIGI YA TANZANIA


Golikipa wa Timu ya Mtibwa Sugar Hussein Shariff akidaka mpira mbele ya Mshambuliaji wa Simba Sc Mrisho Ngassa katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom iliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam. Simba ilikubali kipigo cha bao 1-0
Wamchezaji wa Kagera Sugar na African wakiwa katika mpambano wao uliofanyika uwanja wa Kaitaba, Kagera katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom.Mchezo huo uliisha kwa sare ya bao 1-1

No comments:

Post a Comment

only comments that are benefial for this blog is allowed