Bayern Munich Imeshinda kwa goli la Ugenini


Laurent Koscielny akiifungia arsenal bao la pili dhidi ya Bayern

Mlinda mlango wa Bayern Manuel Neuer akishikilia mpira kujaribu kupoteza muda

Olivier Giroud akiifungia Arsenal bao la kwanza

kadi ya manjano:Thomas Rosicky akionekana mwenye huzuni baada ya kufanya rafu mbaya


Neuer akipoteza muda baada ya kufungwa bao



Mario Mandzukic akionyesha kukasirika

Arsene Wenge rakilalamika mbele ya mwamuzi wa akiba

Wenger akizidi kulalamikia uamuzi mbovu kutoka kwa mwamuzi wa pambano hilo

Luis Gustavo (kulia) akijaribu kumzuia Santi Cazorla
Licha ya kuifunga Bayern Munich ya Ujerumani mabao mawili kwa bila ugenini, Arsenal waondolewa katika mashindano ya Klabu bingwa bara Ulaya.
Hii ni kwa sababu katika mechi ya awali iliyochezwa wiki mbili zilizopita katika Uwanja wa Emirates, Arsenal walifungwa magoli 3-1 na Bayern.
Kufuatia bao hilo Arsenal wakawa wanahitaji magolo mengine mawili ili kumaliza mechi wakuwa juu kwa 3-0.Mchezaji Olivier Giroud aliipatia 'The Gunners' goli lao la kwanza katika dakika ya 15 baada ya pasi safi kutoka kwa Theo Walcott.
Mlinda lango wa Arsenal Lukasz Fabianski alifanya kazi ya ziada kwani alipangua mikwaju kadhaa kutoka kwa mshambulizi matata Arjen Robben hivyo kumnyima nafasi ya kuifungia Bayern Munich goli lolote.
Lakini baada ya mechi , Bayern Munich ndio walifaulu kuingia hatua ya robo fainali.
VIKOSI
Bayern Munich: Neuer, Dante, Van Buyten, Lahm, Martinez, Muller, Alaba, Luis Gustavo, Kroos (Tymoschuk 81), Mandzukic (Gomez 73), RobbenSubs not used: Tom Starke, Rafinha, Contento, Shaqiri, Pizarro
Booked: Lahm, Martinez, Gomez
Arsenal: Fabianski, Mertesacker, Koscielny, Jenkinson, Gibbs, Rosicky, Arteta, Walcott (Oxlade-Chamberlain 72), Ramsey (Gervinho 72), Cazorla, Giroud
Subs not used: Mannone, Vermaelen, Diaby, Coquelin, Arshavin
Booked: Gibbs, Rosicky, Giroud, Mertesacker, Cazorla, Koscielny
Goals: Giroud 3, Koscielny 86
Referee: Pavel Kralovec
Attendance: 66,000
No comments:
Post a Comment
only comments that are benefial for this blog is allowed