Malaga2
Isco 43′Santa Cruz 77′
FC Porto0
- FT 90 +5
- HT 1-0
- (agg 2 - 1)

Klabu ya soka ya Malaga imeungana na klabu za Barcelona,Bayern Munich, Borussia Dortmund, Galatasaray, Juventus, Paris Saint-Germain na Real Madrid kutinga katika hatua ya robo fainali ya mashindano makubwa kwa upande wa klabu barani ulaya baada ya hapo jana kuibwaga klabu ya Fc Porto ya ureno kwa mabao 2-0 yaliyofungwa na wachezaji wake isco dakika ya 43 na Santa Cruz dakika 77. Ratiba ya hatua ya Robo fainali itapangwa siku ya Ijumaa tarehe 15.03.2013
No comments:
Post a Comment
only comments that are benefial for this blog is allowed