
ANABAKI KUWA BINGWA: FLOYD MAYWEATHER AKIWA NA MKANDA WAKE BAADA YA KUFANIKIWA KUMCHAPA KWA POINTI ROBERT GUERRERO


FLOYD MAYWEATHER AKIONGEA BAADA YA PAMBANO

MAYWEATHER AKIMTUPIA MAKONDE GUERRERO

MAN TO MAN

GUERRERO AKIRUSHA NGUMI KWA MAYWEATHER

Floyd Mayweather jr anabaki kuwa bingwa wa masumbwi asiyepingika baada ya leo asubuhi kwa saa za afrika mashariki kufanikiwa kumchapa kwa pointi bondia machachari Robert Guerrero na kuendeleza rekodi ya kuwa bondia asiyewahi kupigwa hata pambano moja.
Pambano lilikuwa kali na la kusisimua uku kila bondia akijaribu kutumia mbinu kumpiga mwenzake lakini bondia Floyd Mayweather alionekana kumzidi ujanja mwenzake kwa kufanikiwa kupata alama nyingi zaidi.
Hadi mwisho wa pambano bondia Floyd Mayweather alikuwa anaongoza kwa kuwa na pointi nyingi zaidi ya mwenzake.
No comments:
Post a Comment
only comments that are benefial for this blog is allowed