ITALIA 2 MEXICO 1
Tazama mpira wa adhabu ndogo unavyopigwa
Andrea Pirlo akishangilia baada ya kuipatia italia bao la kwanza katika mechi yake ya 100 akiwa na timu ya taifa
Shujaa: Mario Balotelli akishangilia baada ya kuipatia italia bao la pili
Javier 'Chicharito' Hernandez akishangilia baada ya kuifungia mexico bao la kufutia machozi
mashabiki wa mexico
Wachezaji wa italia wakipongezana baada ya pambano kumalizika
VIKOSI
MEXICO: Corona, Rodriguez, Salcido, Flores, Moreno, Torrado, Aquino (Mier 53), Zavala (Jimenez 85), Guardado, Giovani, Hernandez.
WACHEZAJI WA AKIBA: Ochoa, Reyes, Molina, Barrera, Reyna, De Nigris, Meza, Herrera, Torres, Talavera.
Booked: Moreno, Giovani.
MAGOLI: Hernandez 34 pen.
ITALIA: Buffon, Chiellini, De Sciglio, Abate, Barzagli, Marchisio (Cerci 68), De Rossi, Montolivo, Pirlo, Giaccherini (Aquilani 88), Balotelli (Gilardino 85).
WACHEZAJI WA AKIBA: Sirigu, Maggio, Astori, Candreva, Giovinco,
El Shaarawy, Bonucci, Diamanti, Marchetti.
KADI YA NJANO: Barzagli, Balotelli, De Rossi.
MAGOLI: Pirlo 27, Balotelli 78.
WATAZAMAJI: 80,000
No comments:
Post a Comment
only comments that are benefial for this blog is allowed