Wednesday, November 20, 2013

UFARANSA YAFUZU KWA KOMBE LA DUNIA BAADA YA KUICHAPA UKRANE BAO 3-0(AGGR 3-2) NYUMBANI SHUKRANI KWA KARIM BENZEMA NA MAMADOU SAKHO

MAMADOU SAKHO AKISHANGILIA BAADA YA KUIFUNGIA UFARANSA BAO LA KWANZA
MAMADOU SAKHO AKIIFUNGIA UFARANSA BAO LA KWANZA
WACHEZAJI WA UFARANSA WAKISHANGILIA KUFUZU KWA KOMBE LA DUNIA MWAKANI NCHINI BRAZIL
BENZEMA (KATIKATI) AKISHANGILIA BAO LA PILI PAMOJA NA WACHEZAJI WENGINE WA UFARANSA PAUL POGBA(KUSHOTO) NA BLAISE MATUIDI (KULIA)

Baada ya kukubali kipigo cha mabao 2-0 ugenini walipocheza na timu ya taifa ya ukrane Timu ya taifa ya Ufaransa imefanya kile watu wasichokitegemea baada ya kuichapa bila huruma timu ya taifa ya Ukrane kwa bao 3-0 katika pambano la jana lililopigwa nchini ufaransa.

Kwa matokeo hayo ufaransa imefanikiwa kutinga katika fainali za mwakani nchini ureno kwa idadi ya magoli 3-2

VIKOSI
France: Lloris 6, Debuchy 6 (Sagna 78), Evra 6, Varane 5, Sakho 7, Cabaye 7, Matuidi 7, Valbuena 6, Pogba 7, Ribery 8, Benzema 7 (Giroud 82). Subs not used: Landreau, Giroud, Nasri, Clichy, Grenier, Mandanda, Payet, Sissoko, Remy, Mavuba, Abidal.

Booked: Sakho, Evra, Debuchy.


Goals: Sakho 22, Benzema 34, Gusev og 72.


Ukraine: Pyatov 7, Shevchuk 5, Khacheridi 4, Mandzyuk 5, Rakitskiy 6, Yarmolenko 6, Konoplyanka 6, Rotan 6, Bezus 5 (Gusev 64, 4), Edmar 5, Zozulya 5 (Seleznov 76). Subs not used: Khudzamov, Dedechko, Tymoschuk, Khomchenovskiy, Stepanenko, Seleznyov, Fedorchuk, Morozyuk, Sydorchuk, Devic.

Booked: Rotan, Mandziuk.


Sent off: Khacheridi.

Man of the match: Franck Ribery.


Attendance: 77,000


Referee: Damir Skomina (Slovenia) 5.

No comments:

Post a Comment

only comments that are benefial for this blog is allowed