SIMBA WA KWELI: NELSON MANDELA KULIA AKIWA AMESHIKA JEZI YA TIMU YA TAIFA YA ENGLAND BAADA YA KUKABIDHIWA NA DAVID BECKHAM(KUSHOTO) HIYO NI MWAKA 2003
MGUSO WA UKWELI: MANDELA KATIKATI AKISHIKANA MIKONO NA DAVID BECKHAM (KULIA) PAMOJA NA LUCAS RADEBE (KUSHOTO) MWAKA 2003
HESHIMA: PELE (KUSHOTO) NA SAMWEL ETO'O (KULIA) WAKIMKABIDHI ZAWADI YA JEZI MANDELA KATIKA SIKU YAKE YA KUTIMIZA MIAKA 89 HIYO ILIKUWA MWAKA 2007
ZAWADI:KOCHA WA ZAMANI WA MANCHESTER UNITED SIR ALEX FERGUSON AKIMKABIDHI MZEE MANDELA JEZI YA UNITED KATIKA ZIARA YA MAN UNITED AFRIKA YA KUSINI MWAKA 2006
CRISTIANO RONALDO AKIWA NA MANDELA MWAKA 2010
MPIGANAJI WA KWELI: MANDELA AKIWA KATIKA PICHA MBILI TOFAUTI ZINAZOMWONYESHA AKIWA NA GLAVU MAALUM ZA MCHEZO WA NDONDI MCHEZO AMBAO MZEE MADIBA ALIKUWA AKIUPENDA SANA
WACHEZAJI WA ZAMANI WA MANCHESTER CITY ROBINHO (KULIA) AKIWA NA EMANUEL ADEBAYOR (KUSHOTO) WALIPOMTEMBELEA MANDELA MWAKA 2009
RONALDO WA KIBRAZIL AKIWA NA MZEE MANDELA ALIPOMTEMBELEA JIJINI CAPE TOWN MWAKA 2005
Dunia ya wapenda michezo imepata pigo kubwa baada ya kumpoteza baba na shujaa wa bara la afrika mzee Nelson mandela ambaye amefariki hapo jana nchini afrika ya kusini. barakasports inaungana na wadau wote wa michezo duniani kote kuomboleza msiba huo wa baba yetu wa bara la afrika. R.I.P mzee Mandela
TWITTER TRIBUTES TO MADIBA
Ronaldo: Thankful Madiba for your legacy and your example. You"ll always stay with us.
Usain Bolt: One of the greatest human beings ever..May your soul rest in peace..The worlds greatest fighter…
Bryan Habana: R.I.P Tata Madiba Thank you for the inspiration and hope. May your legacy live on forever.
AB de Villiers: Let us now, more than ever, stick together as a nation! We owe him that much. #madiba you will be missed! #tata #inspiration #leader
Sepp Blatter: It is in deep mourning that I pay my respects to an extraordinary person, probably one of the greatest humanists of our time and a dear friend of mine: Nelson Rolihlahla Mandela
Steven Pienaar: In tears The Father Of the Great Nation Have Past On. R.I.P TATA MADIBA.
Mike Tyson: I'm hearing about Nelson Mandela's death while on African soil in Oran, Algeria. Sending prayers to Mandela's family
Aaron Ramsey: Such sad news but what a great man and huge inspiration. RIP Nelson Mandela.
Jack Wilshere: 'The brave man is not he who does not feel afraid, but he who conquers that fear.' Love this one! Thoughts with his family! Great man! NM!
No comments:
Post a Comment
only comments that are benefial for this blog is allowed