Monday, June 09, 2014

WACHEZAJI WA TIMU YA TAIFA YA UINGEREZA WAKIJIVINJARI KATIKA FUKWE ZA NCHINI BRAZIL

MCHEZAJI WA TIMU YA TAIFA YA UINGEREZA DANIEL STURRIDGE AKIZINGIRWA NA MASHABIKI WA SOKA NCHINI BRAZIL
DANNY WELBECK AKIWA SAMBAMBA NA WAANDISHI WA HABARI NCHINI BRAZIL ALIPOKUWA AKIJIVINJARI KATIKA FUKWE NCHINI HUMO
MASHABIKI WATOTO NCHINI BRAZIL WAKIFURAHI BAADA YA KUMWONA MSHAMBULIAJI WA TIMU YA TAIFA YA UINGEREZA DANNY WELBECK
WACHEZAJI WA TIMU YA TAIFA YA UINGEREZA KUTOKA KUSHOTO NI SMALLING, WELBECK NA JOTRDAN HENDERSON

Zikiwa zimebaki siku mbili kabla ya mashindano ya kombe la dunia kuanza kulindima nchini brazil wachezaji wa timu ya taifa ya uingereza maarufu kama three lion walionekana wakijivinjari katika fukwe za nchi hiyo na hivyo kutumia fursa hiyo kuonana na mashabiki wa soka wa nchini brazil.

Kivutio kikubwa katika fukwe hizo walikuwa ni mchezaji daniel sturridge na danny welbeck ambao walionekana kuvutia mashabiki wengi wa soka nchini humo ambao walikuwa na shahuku kubwa ya kuonana nao.

mashindano hayo ya kombe la dunia yanatarajiwa kuanza kesho kutwa tarehe 12 juni 2014

No comments:

Post a Comment

only comments that are benefial for this blog is allowed