Thursday, August 21, 2014

MARCOS ROJO ATAMBULISHWA RASMI MANCHESTER UNITED

MARCOS ROJO AKIJITAMBULISHA KWA MASHABIKI WA UNITED
ROJO AKIWA NA JEZI NAMBA 5 ALIYOKABIDHIWA NA KLABU YAKE MPYA
MARCOS ROJO ALIPOWASILI KATIKA JIJI LA MANCHESTER

Klabu ya Manchester united imethibitisha kumsajili mlinzi wa kati kutoka klabu ya Sporting Lisbon ya Ureno Marcos Rojo kwa ada ya uhamisho inayokadiriwa kufikia paundi milioni 16.

Rojo ambaye alitua katika jiji la Manchester siku ya Jumanne jioni ameongelea ujio wake katika klabu hiyo kuwa ni kama ndoto kwake amesaini mkataba wa miaka mitano na klabu hiyo baada ya kufaulu vipimo vya afya yake na kukubaliana maslahi binafsi na klabu hiyo.

Kocha wa Manchester United Louis Van Gaal ameona ni muhimu kumsajili beki anayetumia mguu wa kushoto na kuonyesha kuvutiwa na mchezaji huyo wa Argentina baada ya kipigo cha bao 2-1 cha wiki iliyopita kutoka klabu ya Swansea. Mchezaji atakuwa akitumia jezi namba 5

HISTORIA YA MARCOS ROJO 

Born: March 20, 1990 (Age 24)
Nationality: Argentinian (24 caps, 1 goal)
Position: Centre back/left back 
Clubs: Estudiantes (2008-2011)
Spartak Moscow (2011-2012)
Sporting Lisbon (2012-2014)
Manchester United (2014-)
He played in the World Cup final
He is in a relationship with lingerie model Eugenia Lusardo with whom he has a daughter, Moreno
During the World Cup semi-final, his top speed was quicker than Arjen Robben's 
In Portugal he was shown 27 yellow cards and five reds.

No comments:

Post a Comment

only comments that are benefial for this blog is allowed