Wednesday, November 26, 2014

EUFA CHAMPIONS LEAGUE: MAN CITY 3 BAYERN MUNICH 2 SERGIO AGUERO APIGA HAT TRICK NA KURUDISHA MATUMAINI KWA CITY

Wakati mwingine haingii akilini  lakini mambo yapo kama yalivyo kwa miujiza inayotokea na mambo mengine mengi, Manchester city bado ipo katika mashindano ya ulaya kinyume na walivyodhani baadhi ya watu kwamba timu hiyo ingetupwa nje ya mashindano hayo. Siyo kama imefanikiwa kutinga katika hatua ya mtoano lakini inakaribia kutinga katika hatua hiyo endapo itafanikiwa kupata sare ya aina yoyote itakapovaana na Roma ya italia labda kama timu ya CSKA moscow itafanikiwa kuifunga timu ngumu ya Bayern Munich. City ilikuwa ikipambana na Bayern iliyokuwa na wachezaji 10 uwanjani na kufanikiwa kupata ushindi wa mabao 3-2 baada ya Sergio Aguero kufunga mabao matatu mawili yakiwa katika dakika za majeruhi.

SERGIO AGUERO AKIKIMBIA KUSHANGILIA MOJA YA MABAO ALIYOFUNGA KATIKA PAMBANO LA JANA
AGUERO AKISHANGILIA BAADA YA KUISAWAZISHIA CITY DHIDI YA BAYERN NA KUWA 2-2
MMOROCO WA BAYERN MUNICH MEHDI BENATIA AKIMZUIA MCHEZAJI WA CITY SERGIO AGUERO ASIWEZE KULETA MADHARA LANGONI MWAKE
MEHDI BENATIA AKITOLEWA NJE KWA KADI NYEKUNDU



SERGIO AGUERO AKIONYESHA MAVITU UWANJANI KATIKA PAMBANO LA JANA
XABI ALONSO AKIIFUNGIA BAYERN KWA MPIRA WA ADHABU NDOGO
MPIRA UKIWA KAMBANI
ALONSO AKIPONGEZWA BAADA YA KUFUNGA BAO

ROBERT LEWANDOWSKI AKIIPATIA BAYERN BAO LA PILI
VIKOSI

Manchester City (4-2-3-1): Hart 5; Sagna 5 (Zabaleta 68, 6), Kompany 5.5, Mangala 5, Clichy 5.5; Fernando 6, Milner 6.5 (Jovetic 66, 6); Jesus Navas 6, Lampard 7, Nasri 6.5; Aguero 8 (Demichelis 94).

Subs not used: Caballero, Boyata, Glendon, Pozo.

Booked: Clichy, Aguero.

Goal: Aguero 21 (pen), 85 and 90.

Team average rating: 6.

Manager: Manuel Pellegrini 6.

Bayern Munich (4-3-3): Neuer 6.5; Rafinha 6, Benatia 4, Boateng 5.5, Bernat 6; Alonso 7; Hojbjerg 7, Rode 6.5 (Dante 25, 6.5); Robben 7.5, Lewandowski 7.5 (Shaqiri 84), Ribery 7 (Schweinsteiger 81).

Subs not used: Zingerle, Gaudino, Gotze, Muller.

Booked: Neuer. Sent off: Benatia.

Goals: Alonso 40, Lewandowski 45.

Team average rating: 6.4.

Manager: Pep Guardiola 6.5.

Referee: Pavel Kralovec (Czech Republic)

Ratings by Rob Draper at the Etihad Stadium 

No comments:

Post a Comment

only comments that are benefial for this blog is allowed