Wednesday, November 26, 2014

LIONEL MESSI AWEKA REKODI NYINGINE MPYA KATIKA MASHINDANO YA KLABU BINGWA BARANI ULAYA

Lionel Messi ameivunja rekodi ya muda mrefu iliyowekwa na Raul Gonzalez ya kufunga mabao 71 baada ya hapo jana kufanikiwa kufunga mabao matatu (Hat trick) katika ushindi wa mabao 4-0 walioupata Barcelona dhidi ya Apoel Nicosia ya Uturuki na  kufanya mchezaji huyo kufikisha mabao 74 na kuyazidi yale yaliyofungwa na Raul kwa mabao matatu. 


Akiongea baada ya pambano hilo messi amesema anajisika furaha sana kuweza kuifikia rekodi hiyo katika pambano lao muhimu na hivyo kusisitiza kwa sasa cha muhimu ni kushinda michezo iliyobali na kuweka pembeni habri za kuvunja rekodi.

LIONEL MESSI AKISHANGILIA BAADA YA KUFUNGA GOLI LA 73 LA MSHINDANO YA KLABU BINGWA BARANI ULAYA

MESSI AKISHANGILIA GOLI LA 72 LA MSHINDANO YA ULAYA


LIONEL MESSI AKISHANGILIA MABAO KATIKA MECHI YA JANA

MESSI AKIPONGEZWA NA PEDRO


WANAOONGOZA KWA MAGOLI KATIKA MASHINDANO YA KLABU BINGWA BARANI ULAYA
1st: Lionel Messi (Barcelona) - 74 goals

2nd: Raul (Real Madrid, Schalke) - 71

3rd: Cristiano Ronaldo (Manchester United, Real Madrid) - 70

4th: Ruud van Nistelrooy (PSV Eindhoven, Manchester United, Real Madrid) - 56

5th: Thierry Henry (Monaco, Arsenal, Barcelona) - 50

No comments:

Post a Comment

only comments that are benefial for this blog is allowed